Machinga Complex, Fremu za Mapinduzi, Dodoma, Tanzania • Open 24/7 0745389941 • intekiprinting@gmail.com
UCHAPISHAJI DODOMA

Tunaprint, tunabrand, tunatangaza biashara yako.

INTEKI Branding | Printing tuko Machinga Complex, Fremu za Mapinduzi, Dodoma, Tanzania. Tunafanya kazi za kuprint, vibao, branding na matukio kwa biashara, ofisi za serikali, NGO, shule na watu binafsi Dodoma, na tunatuma mikoa yote Tanzania.

Tunaprint, tunabrand, tunatangaza biashara yako.

Piga au WhatsApp

0745389941 / 0704899410 · intekiprinting@gmail.com

HUDUMA ZETU

Tunachofanya

Maeneo ya Dodoma tunayohudumia: Dodoma CBD, Mji wa Serikali Mtumba, Area D, Area C, Kisasa, Makulu, Nkuhungu, Kikuyu, Ihumwa, Nzuguni, Iyumbu, Chamwino, UDOM, Miyuji, Kizota, Mnadani, Ipagala, Mbwanga.

MASWALI

Maswali yanayoulizwa mara nyingi

Kuna sehemu ya kuprint Dodoma iliyo wazi saa 24?

Ndiyo. INTEKI Printing, Machinga Complex, Fremu za Mapinduzi, Dodoma, Tanzania, tuko wazi saa 24, siku 7 za wiki, hata wikiendi na sikukuu. Kazi za haraka karibu. Piga au WhatsApp 0745389941.

Naweza kuprint wapi Dodoma?

INTEKI Printing tuko Machinga Complex, Fremu za Mapinduzi, Dodoma, Tanzania. Tunaprint mabango, roll-up, stika, T-shirt, kadi za biashara, vipeperushi na zaidi. Piga au tuma WhatsApp 0745389941.

Mnaprint T-shirt Dodoma?

Ndiyo. Tunaprint T-shirt na polo kwa DTF na screen printing, na tunadarizi (embroidery) logo kwenye polo, kofia na sare. Hata pisi chache tunafanya.

Mnatengeneza vibao vya maduka Dodoma?

Ndiyo. Tunatengeneza na kufunga vibao vya maduka, herufi za 3D za acrylic, chuma na ACP, na lightbox zenye taa za LED.

Mko nje ya Dodoma, mnatuma mzigo?

Ndiyo. Kazi inafanyika Dodoma na tunatuma mikoa yote, ikiwemo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Morogoro, Singida. Gharama ya kusafirisha inawekwa kwenye bei.

Bei ya kuprint ni shilingi ngapi?

Inategemea ukubwa, aina ya material, idadi na design. Tutumie maelezo kwenye WhatsApp au kwenye fomu ya quote, tunakurudishia bei kwa shilingi (TZS).

Mnasaidia kutengeneza design?

Ndiyo. Kama huna design, tunakutengenezea. Kama unayo, tutumie PDF au picha ya ubora wa juu.

ANZA SASA

Una kazi ya kuprint?

Tutumie ukubwa, idadi na design, tukuandalie bei.

Read this page in English

READY TO START A PROJECT?

Let’s bring your brand to life.

From one custom item to a complete corporate branding project.