Vitu vinavyoamua bei ya banner
- Ukubwa: upana na urefu kwa mita au sentimita. Banner kubwa inatumia material na wino zaidi.
- Material: flex ya kawaida, blackout (pande mbili au taa nyuma) au mesh (sehemu zenye upepo, kama site za ujenzi).
- Idadi: banner nyingi za design moja zinashusha bei ya kila moja.
- Design: kama huna design, gharama ya kutengeneza design inaongezwa.
- Kumalizia: matundu (eyelets), kushona pembeni, mifuko ya fimbo au kufunga site.

